Tuesday, December 27, 2016

Hivi ndivyo ulivyokuwa mkutano mkuu wa chama cha wanahabari mkoa wa Mara

 MKUTANO mkuu wa mwaka wa Chama cha Waandishi wa Habari mkoa wa Mara(MRPC) umefanyika leo kwenye ukumbi wa bwalo la maafisa wa polisi mjini Musoma ambapo pamoja na mambo mengine yaliyojadiliwa kwenye mkutano huo ni pamoja na kuendeleza mahusiano baina ya Waandishi wa Habari na wadau huku ikitumia mkutano huo kutuma salamu za rambirambi kwa ndugu na familia ya mwahabari Mpoki Bukuku aliyefariki dunia hivi karibuni






















0 comments:

Post a Comment